Habari za Punde

Maadhimisho ya Siku ya Afya Katika Kijiji cha Kijini Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.


Waziri wa Afya Zanzibar. Mhe. Hamad Rashid Mohammed akitembelea maonesho ya kuadhimisha Siku ya Afya Duniani yaliofanyika katika Viwanja vya Kituo cha Afya Kijini Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akimsikiliza Meneja Mradi wa Afya na Watoto Bi. Asma Ramadhani akitowa maelezo wakati akitembelea maonesho ya Afya kuadhimisha Siku ya Afya Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Kituo cha Afya Kijini Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja leo. 
Afisa wa Kitengo cha Afya Baba Bora, Saleh Juma akitowa maelezo kwa Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed wakati akitembelea maonesho hayo kuadhimisha Siku ya Afya Dunia yalioadhimishwa Kitaifa katika viwanja vya Kituo cha Afya Kijini Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.