KUTOKANA na Mvua zinazoendelea kunyesha barabara nyingi zimechimbika Mafundi wa barabara kutoka kampuni ya UUB wakiziba mashimo katika barabara ya Maisara (Picha na Abdalla Omar Maelezo Zanzibar)
Tunahitaji kuwa na jengo kubwa na la kisasa kama hili, lenye vifaa na uwezo
wa kuhudumia ongezeko la wageni wanaokuja nchini -Dk.Hussein
-
*RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali
Mwinyi **amesema **huduma za uhamiaji kwa Mkoa wa Mjini Magharibi
zinahitaji kuwe...
3 minutes ago
No comments:
Post a Comment