Habari za Punde

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na mafunzo amali azindua zoezi la Upandaji miti Mkokotoni

 KATIBU MKUU Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Idirisa Musilimu Hija akizindua zoezi la upandaji Miti Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
   KATIBU MKUU Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Idirisa Musilimu Hija akipanda mti baada ya kuzindua zoezi la la upandaji miti Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
 MKURUGENZI Mamlaka Mafunzo ya Amali Bakari Silima akipanda mti katika zoezi la upandaji miti Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja (Picha na Abdalla Omar Maelezo – Zanzibar).
 Maafisa na Wanafunzi mbali mbali  waliojitokeza katika zoezi la upandaji miti lililofanyika Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja  Zanzibar).

(Picha na Abdalla Omar Maelezo – 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.