MCHEZAJI wa Timu ya Wizara ya Fedha Pemba,
aliyejulikana kwa jina la Moroko akijaribu kufunga mlinda mlango wa timu ya
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Pemba, wakati wa michezo ya Mei Mosi katika uwanja
wa Gombani, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege kuibuka na ushindi wa Penalti 7-6.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MCHEZAJI wa Timu ya Wizara ya Fedha Pemba, Mohamed
Massoud Msabah akijaribu kuwapita wachezaji wa timu ya Mamlaka ya Viwanja vya
Ndege Pemba, wakati wa michezo ya Mei Mosi katika uwanja wa Gombani, Mamlaka ya
Viwanja vya Ndege kuibuka na ushindi wa Penalti 7-6.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MCHEZAJI wa Timu ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege
Pemba Juma Hassan, akimdhibiti mchezaji wa timu ya Wizara ya Fedha Pemba Mohamed
Massoud Msabah, wakati wa michezo ya Mei Mosi katika uwanja wa Gombani, Mamlaka
ya Viwanja vya Ndege kuibuka na ushindi wa Penanti 7-6.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MCHEZAJI wa Timu ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege
Pemba, akipiga penant na kumfunga mlinda mlango wa Timu ya Wizara ya Fedha Othaman
Sarahan Mussa, wakayi wa michezo ya Mei Mosi katika uwanja wa Gombani, Mamlaka
ya Viwanja vya Ndege kuibuka na ushindi wa Penanti 7-6.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WACHEZAJI wa Timu ya Wizara ya Fedha Pemba,
wakimpatia huduma ya Kwanza Mlinda mlango wao Othaman Sarahan Mussa, baada ya
kuumia wakati akidaka penanti za wachezaji wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege
Pemba, katika michezo ya Mei Mosi katika uwanja wa Gombani, Mamlaka ya Viwanja
vya Ndege kuibuka na ushindi wa Penanti 7-6.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WACHEZAJI na Viongozi wa Timu ya Mamlaka wa Viwanja
vya Ndege Pemba, wakimpongeza Ali Salum Khamis aliyeibuka shujaa baada ya
kuifungia timu yake Penanti ya saba na ushindi uwanjani hapo, katika michezo ya
Mei Mosi katika uwanja wa Gombani, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege kuibuka na
ushindi wa Penanti 7-6.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
WACHEZAJI na viongozi wa Timu ya Mamlaka ya Viwanja
vya Ndege Pemba, wakifurahia ushindi walioupata katika michezo ya Mei Mosi
katika uwanja wa Gombani, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege kuibuka na ushindi wa
Penanti 7-6.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
No comments:
Post a Comment