Habari za Punde

Mkutano wa tano wa Islamic Finance wafanyika Dar


Dk Mohammed Hafidh Khalfan akipokea cheti cha kushiriki katika Mkutano wa tano wa Islamic Finance kutoka kwa Bi Somia Amir Osman Ibrahim, General Manager, Banking System, Central Bank of Sudan

 Dk Mohammed Hafidh Khalfan  akipokea zawadi yake kwa kuwa Mentor wa Islamic Finance wa mwaka

Washiriki wa Mkutano wa tano wa Islamic Finance wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi, Naibu Waziri wa mambo ya Ndani, Mhe Hamad Masauni. Mkutano ulifanyika katika hoteli ya Park Hyatt Dar es Salaam kuanzia tarehe 17 -18 Aprili 2018

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.