Habari za Punde

Benki ya Watu wa Zanzibar yajumuika na Wateja Katika Futari Maalum Iliofanyika Kisiwani Pemba.

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hemed Suleiman Abdalla wapili kutoka kushoto, akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Zanzibar Ndg.Juma Amour na viongozi wengine wa PBZ Tawi la Pemba wakijumuika na Wananchi wa Wateja wa Benki hiyo katika futari maaluum ilioandaliwa kwa ajili ya0 katika ukumbi wa Hoteli ya ZSSF Chake Pemba.
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Rashdi Hadid Rashid, akichukuwa futari maalumu iliyoandaliwa na Bank ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Tawi la Pemba, kwa wateja wake na kufanyika mjini Chake Chake 
BAADHI ya wananchi wakitiliwa futari maalumu, iliyoandaliwa na Banke ya PBZ kwa wateja wake, futari hiyo iliyofanyika  mjini Chake Chake
BAADHI ya wananchi wakitiliwa futari maalumu, iliyoandaliwa na Banke ya PBZ kwa wateja wake, futari hiyo iliyofanyika  mjini Chake Chake.(PICHA 

WANANCHI wa Kisiwa cha Pemba wakipata futari maalumu iliyoandaliwa na Bank ya PBZ Tawi la Pemba, futari hiyo iliyofanyika mjini Chake Chake
 MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Istiqama Kisiwani Pemba, Mohamed Suleiman akitoa dua kwa wananchi Kisiwa cha Pemba ambao waliohudhuria katika futari maalumu iliyofanyika mjini Chake Chake

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.