Habari za Punde

Fund Raise Kuchangia Watoto Yatima Zanzibar Yafana Zanzibar Katika Ukumbi wa Majid Store Kiembesamaki Unguja leo.

 
Mshereheshaji wa hafla ya Fun Rise ya Kuchangia Watoto Yatima Zanzibar iliandaliwa na Volunteers In Development (VID) Ndg. Hamza Rijali akinadisha baadhi ya Vitu vilivyowasilikwa katika Mnada wa kuchangia Watoto Yatima Zanzibar iliofanyika katika Ukumbi wa Majid Store Kiembesamaki Zanzibar.
MWAKILISHI wa Taasisi ya Kuchangia Watoto Yatima Abil Fauz akinadisha kasha la njumu kwa ajili ya kuchangia Mfuko wa Watoto Yatima Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Majid Store kiembesamaki Unguja Kasha hilo limeuzwa kwa shilingi laki tano katika mnada huo


SHEIKH Othman Maalim akisoma dua wakati wa kumalizika kwa hafla hiyo ya kuchangia Watoto Yatima Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa Majid Store kiembesamaki Zanzibar.kwa kuchangia kwa njia ya kunadisha vifaa mbalimbali vilivyowasilisha katika hafla hiyo


MMILIKI wa Gal Ranimu Hina & Make Up Munira Said Salum akimchora mtoto wakati wa hafla ya kuchagia Watoto Yatima Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa Majid Store kiembesamaki Zanzibar
WANANCHI mbalimbali wakishiriki katika kununua bidhaa zilizowashilishwa wakati wa hafla hiyo ya kuchangia Watoto Yatima Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa Majid Store kiembesamaki ZanzibarNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.