Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein, Akizungumza na Wananchi na Mabalozi wa Wilaya ya Kusini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ramadhan Abdalla Ali (kichupa) alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa Viongozi mashina(Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM   hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Unguja Abdul Aziz alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Skuli ya Sekondari Makunduchi Wilaya ya Kus katika Ukumbi wa Mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo katika mkutano wa Viongozi mashina(Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM   za Wilaya ya Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi CCM pia Waziri wa Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa Viongozi mashina(Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM   wa Wilaya hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Paje CCM Mhe,Jaffar Sanya mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa Viongozi mashina(Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM   za Wilaya ya Kusini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Mhe.Idrisa Kitwana  alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa Viongozi mashina(Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM   za Wilaya ya Kusini
Viongozi,Watendaji wa Chama cha Mapinduzi pamoja na Mabalozi wa Wilaya ya Kusini wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo katika mkutano wa Viongozi mashina(Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM   za Wilaya ya Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha wageni alipowasili  katika Ukumbi wa Mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo katika mkutano wa Viongozi mashina(Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM   za Wilaya ya Kusini Unguja.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Unguja Abdul Aziz alipokuwa akifungua Mkutano wa  Viongozi mashina(Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM   za Wilaya ya Kusini Unguja leo mgeni Rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
Msomaji wa Taarifa ya Mabalozi Mwanajuma Ramadhan Abdalla Ali alipokuwa kikabidhi Taarifa hiyo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa mkutano wa Mabalozi wa  Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM   wa Wilaya ya Kusini leo uliofanyika katika  Ukumbi wa Mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ramadhan Abdalla Ali (kichupa) alipowasili alipokuwa akimakaribisha Naibu Katribu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala leo katika Mkutano wa  Mabalozi wa  Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM   wa Wilaya ya Kusini uliofanyika leo katika  Ukumbi wa Mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala akisoma baadhi ya vifungu vya Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM wakati wa mkutano wa Viongozi wa Mashina,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM   wa Wilaya ya Kusini leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali wa mashina wa Wilaya ya Kati na Watendaji wa Chama katika mkutano maalum wa kuimarisha chama cha Mapinduzi uliofanyika leo katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto) Mwenyekiti wa CCM MKoa wa Kusini Unguja Mhe.Ramadhan Abdalla Ali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali wa mashina wa Wilaya ya Kati na Watendaji wa Chama katika mkutano maalum wa kuimarisha chama cha Mapinduzi uliofanyika leo katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]05/05/2018. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.