Habari za Punde

Harakati za Wananchi Katika Marikiti Kuu ya Mwanakwerekwe Leo Baada ya Kuandama kwa Mwezi wa Ramadhani Zanzibar.

 Wananchi wa Zanzibar wakiwa katika harakati za kujitafutia futari katika marikiti ya mwanakwerekwe leo asubuhi. 
Marikiti ya Mwanakwerekwe hali ilivyokuwa leo mwanzo mwa mwezi wa Ramadhani Kilo moja ya Nyama ya Ngombe imeuzwa kili moja shilingi 8000/= nyama safi na ya mfupa shilingi 6000/=.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.