RAIS
wa Taasisi ya Tanzania Red Cross Ndg. Jecha Mwalim Jecha wakati wa Maadhimisho
ya Siku ya Red Cross Duniani ilioadhimishwa katika ukumbi wa zamani wa baraza
la wawakilishi kikwajuni Zanzibar
NAIBU
Waziri wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.
Mihayo Juma akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Red Cross Duniani
ilioadhimishwa kitaifa katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi
kikwajuni Zanzibar, akimuwakilisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi
Seif Ali Iddi
No comments:
Post a Comment