Habari za Punde

MKUTANO WA MABALOZI WILAYA YA DIMANI (KICHAMA)

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto)  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama Mohamed Rajab (kushoto)Waziri Kiongozi Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Kijitoupelei Mhe.Shamsi Vuai Nahodha,(kulia) akifuata Mwenyekiti wa Wilaya ya Dimani CCM Hussein Mjema (kimti) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala,wakiimba wa Mashujaa Wimbo wa "Sisi Sote Tumegomboka"wakati wa Mkutano wa mabaalozi Wilaya ya Dimani uliofanyika leo katika Ukumbi wa CCM Amani Mkoa
Viongozi na Baadhi ya Mabalozi wakiimba   Wimbo wa Mashujaa “Sisi Sote Tumegomboka” katika Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Dimani  CCM Mkoa wa Magharibi (Kichama) uliofanyika leo katika Ukumbi wa CCM- Amani Mkoa mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya CCM Amani Mkoa  wakati wa Mkutano wa Viongozi wa Mashina,Wenyeviti wa Matawi na Mkatibu wa Maskani wa Wilaya ya Dinami Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipokea taarifa ya Mabalozi wa Wilaya ya Dimani  baada ya kusomwa na Balozi Mwanakheri Iddi Ramadhan(kulia)katika  mkutano wa Viongozi Mashina(Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM katika Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika leo katika  Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya CCM Amani Mkoa
 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dimani Mhe.Hussein Mjema(kimti) alipokuwa akizungumza machache na kumkaribisha Mwenyekiti wa Mkoa wa Mahgaribi Kichama katika mkutano wa Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu wa Maskani wa Wilaya hiyo katika Ukumbi wa CCM Amani Mkoa leo,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala, alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati wa mkutano wa Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu wa Maskani wa Wilaya ya Dimani uliofanyika leo  katika Ukumbi wa CCM Amani- Mkoa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza  na Mabalozi wa Wilaya ya Dimani CCM Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika leo katika Ukumbi wa CCM Amani -Mkoa (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Mhe,Mohamed Rajab na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Mashina (Mabalozi) Wenyeviti wa Matawi ya CCM,Makatibu wa Kaskani wa Wilaya ya Dimani CCM Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika leo katika Ukumbi wa CCM Amani –Mkoa,
Baadhi ya Mabalozi wa Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  katika Mkutano wa  kuimarisha Chama cha Mapinduzi Uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Amani-Mkoa,[Picha na Ikulu,] 08/05/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.