Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kanda ya Unguja Kati ya Mafunzo na Zimamoto Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Zimamoto Imeshinda Bao 1-0.

Mchezaji wa Timu ya Mafunzo akimpita beki wa Timu ya Zimamoto katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kanda ya Unguja uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Zimamoto imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.








No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.