Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kanda ya Unguja Kati ya KVZ na Jangombe Boys Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya KVZ Imeshinda Bao. 1-0.

BEKI wa Timu ya KVZ Raphael Obi, akiondoa mpira huku mshambuliaji wa Timu ya Jangombe Boys Mustafa Vuai akijiandaa kumnyanganya mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kanda ya Unguja mchezo uliuofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya KVZ imeshinda bao 1-0
MSHAMBULIAJI wa Timu ya KVZ Nassir Bakari akimpita bewki wa Timu ya Jangombe Boys Mohammed Kipande wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan. Timu ya KVZ imeshinda bao 1-0.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.