Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, alisema suala la michezo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inalipa kipaumbele kikubwa kwa kuwa inaamini kuwa inayo faida nyingi baadhi yake ikiwa ni kujenga afya,kuleta umoja,burudani na inazo fursa kubwa za ajira hususani kwa vijana na aliipongeza kampuni ya Coca-Cola kwa kuwa mstari wa mbele kudhamini mashindano haya.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi,Ayoub Mohamed Mahmod akipokea zawadi ya mpira wa kufanyia mazoezi kutoka Coca-Cola baada ya hafla ya uzinduzi.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Maghribi, Ayoub Mohamed Mahmod (wa tatu kulia) akikabidhi jezi na mpira kwa mwalimu Mussa Abdi Khamis wa shule ya sekondari ya penae.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Ayoub Mohammed Mahmoud, akipiga mpira kuashiria uzinduzi wa mashindano ya Copa UMISSETA.
Moja ya timu ikikaguliwa wakati wa uzinduzi huo.
Wananchi wakifuatilia matukio wakati wa uzinduzi.
NMB YADHAMINI NA KUSHIRIKI KIKAO CHA WENYEVITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU
WA TAASISI ZA UMMA.
-
Benki ya NMB imedhamini na kushiriki kwenye Kikao kazi cha wenyeviti wa
Bodi na watendaji wakuu wa taasisi za umma (CEOs Forum
2025) kinachoendelea katik...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment