Habari za Punde

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA NA KATIBU TAWALA WA MKOA WA TABORA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Alphayo Kidata kuwa balozi wa Tanzania nchini Canada kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 10, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Alphayo Kidata kuwa balozi wa Tanzania nchini Canada kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Alphayo Kidata kuwa balozi wa Tanzania nchini Canada kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora  kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora  kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora  kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mhe. Alphayo Kidata  aliyemuapisha kuwa balozi wa Tanzania nchini Canada  na Mhe. Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora   wakila kiapo cha ahadi na uadilifu kwa viongozi wa umma kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kuwaapisha Mhe. Alphayo Kidata kuwa balozi wa Tanzania nchini Canada  na Mhe. Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kuwaapisha Mhe. Alphayo Kidata kuwa balozi wa Tanzania nchini Canada  na Mhe. Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata picha ya pamoja na wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama baada ya kuwaapisha Mhe. Alphayo Kidata kuwa balozi wa Tanzania nchini Canada  na Mhe. Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 10, 2018.Wengine mbele Kulia ni  Waziri Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI) Mhe.  Selemani Jaffo na kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Suzan Kolimba akifuatiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.