Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)) Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana baada ya kukutana na kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 27, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana baada ya mazungumzo yao yaliofanyika leo Ikulu jijini Dar es salaam.(Picha na Ikulu )
Huduma za Benki ya CRDB sasa viwango vya kimataifa
-
*Dar es Salaam. Tarehe 8 Septemba 2025: Baada ya saa 72 za maboresho ya
mfumo wa uendeshaji wa benki (Core Banking System), huduma za Benki ya CRDB
sasa...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment