Habari za Punde

Wanafunzi wa Skuli za Sekondari za Kisiwa Panza na Chokocho Pemba Washiriki Katika Zoezi la Upandaji wa Miti ya Kikoko Katika Eneo Lililoingia Maji ya Chuvi.

Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Chokocho Kisiwani Pemba, wakishiriki katika zoezi la upandaji wa Miti ya Mikoko katika eneo hilo lililoingia maji ya bahari kutokana na mabadiliko ya TabiaNchi na kusababishwa kwa kuingia kwa maji ya chumvi.Kama wanavyoonekana pichani wakiendelea na zoezi hilo.
Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari Kisiwa Panza , wakipanda miti katika eneo lilomegwa na maji ya Chumvi kufuatia uharibifu wa mazingira.
Maeneo ya Bahari ambayo yamegeuka kuwa jangwa baada ya kumegwa na maji ya Bahari kufuatia uharibifu wa mazingira unaofanywa na Wananchi wenyewe , katika ufukwe wa Bahari ya Chokocho na Kisiwa Panza katika Wilaya ya Mkoani.
Maeneo ya Bahari ambayo yamegeuka kuwa jangwa baada ya kumegwa na maji ya Bahari kufuatia uharibifu wa mazingira unaofanywa na Wananchi wenyewe , katika ufukwe wa Bahari ya Chokocho na Kisiwa Panza katikaWilaya ya Mkoani -Pemba.
Picha na Habiba Zarali-Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.