Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid akifuatilia Hutuba ya Bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ikisomwa na Waziri wa Wizara hiyo. Mhe. Issa Haji Gavu, kwa Wajumbe wa Baraza wakati wa Mkutano wa Kumi wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar, linaloendelea katika majengo yake Chukwani Zanzibar.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar akiongoza Mkutano wa Kumi wa Baraza la Tisa la Wawakilishi kuwasilishwa kwa Bajeti za Wizara za Serikali kwa mwaka wa Fedha 2018/2019 na kuwasilishwa Maswali na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa HJaji Gavu akisoma Hutuba ya Wizara yake kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa Mwaka wa fedha wa 2018/2019, akiwasilisha katika Mkutano wa Kumi wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar kwa ajili ya kuchangia na kupitishwa na Wajumbe.
Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi akifuatilia Hutuba ya Bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ikisomwa na Waziri husika wakati wa Mkutano wa Kumi wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar. Linaloendelea na Mkutano wake katika ukumbi wake Chukwani Zanzibar.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwa makini wakifuatilia Hutuba ya Bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ikiwasilishwa katika mkutano huo wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2018/2019.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu akiwasilisha Hutuba ya Bajeti ya Wizara
yake kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar wakati wa Mkutano
wa Kumi Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwa makini wakifuatilia Hutuba ya Bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ikiwasilishwa katika mkutano huo wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2018/2019.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwa makini wakifuatilia Hutuba ya Bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ikiwasilishwa katika mkutano huo wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2018/2019.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwa makini wakifuatilia Hutuba ya Bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ikiwasilishwa katika mkutano huo wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2018/2019.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid akitoka katika Ukumbi wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi baada ya kuahirisha kwa mapumziko ya asubuhi baada ya kuwasilishwa kwa Hutuba ya Bajeti ya Wizar ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu.
Waziri wa Viwanda na Biashara Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali na Naibu wake Mhe Hassan Diaspora wakitoka katika ukumbi wa Mkutano baada ya kuahirishwa kwa mapumziko ya mchana leo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed mwenye koti jeusi akizungumza na Katibu wa Rais Mhe. Haroub Shaib na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Salum Maulid, wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano baada ya kuahirishwa kwa mapumziko ya mchana.
MWAKILISHI wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe.
Simai Mohammed Said, akizungumza na wageni wake walipofika katika jengo la
Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar,kulia Meneja wa Hoteli ya Lagemma
Zanzibar Mr. Meinrad Schibler wakiwa nje ukumbi wa mkutano
No comments:
Post a Comment