Habari za Punde

Kampuni ya Simu ya ZANTEL Imezindua Kampeni ya Tunaliamsha Kivingine Katika Viwanja Vya Amaan Zanzibar.

Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohamed Khamis Baucha akitoa hotba ya uzinduzi wa kampeni ya Tunaliamsha kivingie 


 Viongozi na wafanyakazi wa Zantel wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa kampeni ya Tunaliamsha kivingine.
Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohamed Khamis Baucha akiongea na wandishi wa habari baada ya kuzindua kampeni ya Tnaliamsha kivingine jana.
Picha zote na Martin Kabemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.