Habari za Punde

PBZ Yafuturia Wadau Wao Jijini Dar es Salaam Mgeni Rasmin Waziri wa TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffu Awaasa Wananchi Kumi la Pili la Mwezi Mtufuku wa Ramadhani Kulitumia Vizuri Kumuomba Mwenyenzi Mungu.

Mwanafunzi Abdulazizi Juma akisoma Qur-An wakati wa hafla ya Futari ilioandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Jijini Dar es Salaam iliofanyika katika hoteli ya Serena.. 
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam katika futari ilioandaliwa na PBZ kwa ajili ya kujumuika na Wafanyakazi na Wateja wao, iliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Serena. 
Wananchi na Viongozi wa PBZ wakijumuika katika Futari maalum ilioandaliwa na Benki hiyo kwa ajili ya Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kujumuika katika futari hiyo iliofanyika katika hoteli ya Serena.   
Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar wakijumuika na Wateja wao katika Futari maalum ilioandaliwa kwa ajili yao iliofanyika katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar wakijumuika na Wateja wao katika Futari maalum ilioandaliwa kwa ajili yao iliofanyika katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam wakijumuika na Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar katika futari iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena.
Wananchi wakijumuika katika Futari Maalum ilioandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ ) katika hoteli ya Serena kujijipatia futari hiyo.

Wafanyakazi wa PBZ na Wananchi wa Jiji la Dar  es Salaam wakijumuika katika kupata Futari maalum ilioandaliwa kwa ajili yao katika ukumbi wa hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. 
Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika ukumbi wa Serena Jijini Dar es Salaam katika hafla ya futari ilioandaliwa na PBZ katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika ukumbi wa Serena Jijini Dar es Salaam katika hafla ya futari ilioandaliwa na PBZ katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika ukumbi wa Serena Jijini Dar es Salaam katika hafla ya futari ilioandaliwa na PBZ katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffu akijumuika na Viongozi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited katika futari ramin ilioandaliwa na PBZ kushoto Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Ndg. Juma Ameir Hafidh na kushoto Mkurugenzi Masoko wa PBZ Ndg. Said Ali Mwinyigogo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Bi. Kidawa Hamid Saleh akijumuika na Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam katika hafla ya Futari ilioandaliwa na PBZ katika ukumbi wa Hoteli ya Serena na kulia Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Bi. Khadija Shamte Mzee.
Wafanyakazi wa PBZ wakijumuika na Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam katika futari ilioandaliwa kwa ajili yao katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.

Mwalimu Elias Ally akitowa neno la shukrani kwa Wananchi waliohudhuria hafla ya futari ilioandaliwa na PBZ katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wananchi na Viongozi waliohudhuria hafla ya futari wakimsikiliza mtowa shukrani kwa Uongozi wa PBZ kwa ushirikiano wao na Wananchi Weteja wa benki hiyo kwa kuwajali kwa hali na mali.  
Mkurugenzi Benki ya Islamic PBZ Ndg Said Mohammed Said akizungumza wakati wa hafla hiyo ya futari iliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffu akiwa na viongozi PBZ wakifuatilia hutuba ta Mkurugenzi wa PBZ Islamic Bank, kushoto Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ, Ndg Juma Ameir Hafidh, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Al-had Mussa Salum na kushoto Mkurugenzi Masoko PBZ Ndg. Said Mwinyigogo. 
Waziri wa TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffu akitowa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislam wakati wa hafla ya futari ilioandaliwa na PBZ katika ukumbi wa hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffu akiwahutubia Wananchi waliohudhuri hafla ya futari ilioandaliwa na PBZ katika ukumbi wa Serena Jijini Dar es Salaam. Ameutaka Uongozi wa PBZ kufungua Tawi zaidi katika mikoa ya Tanzania Bara kwani Wananchi wanataga huduma zao, Amesisitiza kufungua Matawi yao katika Mikoa ya Dodoma, Arusha, Mwanza na Tanga kwani Wananchi wanahitaji huduma zao mikoani.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.