Shamba lennye ukubwa
wa ekari moja, lililolimwa zao la Alizeti la walengwa wa mpango wakunusuru kaya
masikini shehia ya Mjini Ole, likizinduliwa uvunaji wake na mkuu wa Mkoa wa
Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla
AFISA Mdhamini Ofisi
ya Makamo wa Pili wa Rais Pemba, Ali Salim Mata akimfahamisha jambo Mkuu wa
Mkoa wa Kusini Pemba, ambaye pia ni mwenyekiti wakamati ya Tasaf Pemba, kabla
ya kuzindua zoezi la uvunaji wa zao la alizeti katika shamba darasa la walengwa
wa mpango wakunusuru kaya masikini shehia ya mjini Ole.
AFISA Mdhamini Ofisi
ya Makamu wa Pili wa Rais Pemba, Ali Salim Mata akimuonesha mfano Mkuu wa Mkoa
wa Kusini Pemba, ambaye ni Mwenyekiti wakamati ya Tasaf Pemba, Hemed Suleiman
Abdalla jinsi gani zao la alizeti linavyovunwa, wakati wauzinduzi wa zao hilo
katika shamba darasa la walengwa wa mpango wa kunusuru kaya masikini shehia ya
mjini Ole
WALENGWA wa Mpango wa
kunusuru kaya masikini shehia ya mjini Ole, wakivuna zao la alizeti mara baada
ya kuzinduliwa zoezi la uvunaji wa zao hilo huko, katika shamba darasa lao
shehia ya mjini Ole.
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hemed Suleiman Abdalla, ambaye ni
mwenyekiti wa kamati ya Tasafa Pemba, akizindua zoezi la uvunaji wa zao la
alizeti katika shamba darasa la walengwa wa mpango wakunusuru kaya masikini
shehia ya mjini Ole.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)
No comments:
Post a Comment