Habari za Punde

JWTZ Waadhimisha Siku ya Mashujaa Tanzania Kwa Kufanya Usafi wa Mazingira Sehemu Mbalimbali Visiwani Zanzibar.

 Askari wa JWTZ wakishiriki katika kufanya usafi wa mazingira katika Soko la Mbogamboga Mombasa Zanzibar wakiadhimisha Siku ya Mashujaa kwa shughuli za usafi katika maeneo mbalimbali.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.