Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Amaliza Ziara Yake Mkoani Songwe na Kuingia Mkoani Mbeya.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa kikao cha majumuisho ya ziara yake mkoani Songwe kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Chiku Galawa na kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Songwe NduguEllynico Lunanilo Mkola 

Makamuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu na kuwapa pole wakazi wa Mbalizi wakati akiwasili mkoani Mbeya tayari kwa ziara ya kuhamasisha shughuli za kimaendeleo
Makamuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu na kuwapa pole wakazi wa Mbalizi wakati akiwasili mkoani Mbeya tayari kwa ziara ya kuhamasisha shughuli za kimaendeleo.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.