Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu anaeshughulikia mambo ya Habari Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya kale Saleh Yussuf Mnemo mara baada ya kuwasili ZBC Radio kutembelea maeneo mbalimbali ya Studio Rahaleo mjini Unguja.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akipata maelezo kutoka kwa Msaidizi Mhariri Amour Mussa alipotembelea Ofisi ya Waandishi wa Habari ZBC Radio Rahaleo mjini Unguja.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akipata maelezo kutoka kwa Msaidizi Fundi Mkuu ZBC Radio Lazaro Josef alipotembelea chumba cha Mitambo ya kurushia matangazo Rahaleo mjini Unguja
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu ZBC Radio Ali Aboud (kulia) alipotembelea chumba cha matangazo Rahaleo mjini Unguja.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akifahamisha kitu wakati alipotembelea chumba cha kuhifadhia kaseti mbalimbali aliopotembelea ZBC Radio Rahaleo mjini Unguja.
Picha na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment