Habari za Punde

Makamu wa Rais awasili Mauritania na kupokelewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongozana na Waziri Mkuu wa Mauritania Mhe. Yahya Hademine mara baada ya kupokelewa kwenye uwanja wa ndege wa Nouakchott usiku huu tayari kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Mkutano wa 31 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu wa Mauritania Mhe. Yahya Hademine mara baada ya kupokelewa kwenye uwanja wa ndege wa Nouakchott usiku huu tayari kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Mkutano wa 31 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu wa Mauritania Mhe. Yahya Hademine mara baada ya kupokelewa kwenye uwanja wa ndege wa Nouakchott usiku huu tayari kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Mkutano wa 31 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika . (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) ​

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.