Habari za Punde

Masauni: Serikali Haitomvumilia Askari Atakaebainika Kula Rushwa Na Kubambikia Kesi Wananchi

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na watumishi raia, askari na maafisa (hawapo pichani), wakati wa kikao cha ndani na watumishi hao wakati wa ziara ya kikazi, mkoani Shinyanga, jana.Ambapo amewataka askari kutojihusisha na matendo ya rushwa pamoja na kubambikia rushwa  wananchi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Sajenti wa Jeshi la Magereza, Athumani Massawo, akizungumza wakati wa kikao cha ndani cha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), wakati wa kikao cha ndani na watumishi hao wakati wa ziara ya kikazi, mkoani Shinyanga, jana.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Kaimu Mkuu wa Magereza Mkoa wa Shinyaga,Mrakibu Mwandamizi Venance Mwamakula  akizungumza wakati wa kikao cha ndani cha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), wakati wa kikao cha ndani na watumishi hao, mkoani Shinyanga, jana.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Askari wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hawapo pichani), wakati wa kikao cha ndani na watumishi hao wakati wa ziara ya kikazi, mkoani Shinyanga, jana.Ambapo amewataka askari kutojihusisha na matendo ya rushwa pamoja na kubambikia rushwa  wananchi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.