Habari za Punde

Mkutano wa ukusanyaji wa taarifa za maeneo yaliyoathiriwa na mabadiliko ya Tabia nchi Pemba

 AFISA  Idara ya Mazingira Zanzibar, Salim Bakari akiwasilisha mada ya maelezo ya kina ya meneo yaliyoathiriwa na Mabadiliko ya Tabianchi, katika mkutano wa ukusanyaji wataarifa za maeneo yaliyoathirika na mabadiliko ya tabianchi Pemba, mkutano uliofanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WASHIRIKI wa Mkutano wa ukusanyaji wa taarifa za maeneo yaliyoathiriwa na mabadiliko ya Tabia nchi Pemba, wakiwa katika kazi vikundi, kwa lengo la kutoa taarifa za maeneo yalioathiriwa na Mabadiliko ya Tabianchi.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.