Habari za Punde

Rais Dk Shein amuaga Balozi wa Kuwait anaemaliza muda wake

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Kuwait katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jasem Ibrahuim Al-Najem alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais, baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini,[Picha na Ikulu.] 29/07/2018.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake  Balozi wa 
Kuwait katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jasem Ibrahuim Al-Najem alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais, baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini,[Picha na Ikulu.] 29/07/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake  Balozi wa Kuwait katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jasem Ibrahuim Al-Najem alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais, baada ya mazungumzo yao ambae amemaliza muda wake wa kazi Nchini,[Picha na Ikulu.] 29/07/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.