Habari za Punde

Shamrashamra za Sikukuu ya Mwaka Kogwa Makunduchi Ikianza Kwa Vijana Wakipita Mitaani Katika Mitaa ya Makunduchi Asubuhi Hii Wakati wa Maandalizi

Vijana katika Kijiji cha Makunduchi wakiwa katika shamrashamra za kuadhimisha Sikukuu ya Mwaka Kogwa wakipita katika mitaa ya makunduchi wakielekea katika viwanja vya kudhimisha Siku hii muhimu kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika Kijiji cha Makunduchi Zanzibar.
Maadhimisho ya kusherehekea Mwaka Kogwa katika Kijiji cha Makunduchi zimeaza kusherehekewa kuazia katika mwaka ya 875. Asili yake ni kutoka katika Nchi za Pashia Iran na Uturuki.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.