Habari za Punde

Shirika la Posta Tanzania (TPC) Latoa Taarifa ya Mafanikio Yake ya Kiutendaji Kwa Mwaka wa 2017|2018

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo, akizungumza na waandishi wa habari, wakati alipokuwa akitoa taarifa ya mafanikio ya kiutendaji wa shirika hilo, kwa mwaka 2017\2018, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Kaimu Postamasta Mkuu wa shirika, Hassan Mwang'ombe. 
Baadhi ya viongozi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiwa katika mkutano huo, wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo, alipokuwa akitoa taarifa ya mafaniko ya kiutendaji wa shirika kwa mwaka 2017/2018, jijini Dar es Salaam leo. 

Baadhi ya viongozi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo, alipokuwa akitoa taarifa hiyo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), 
Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo, akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitoa taarifa hiyo, ya mafanikio ya kiutendaji wa shirika hilo, kwa mwaka 2017\2018, jijini Dar es Salaam leo.  

Baadhi ya Maofisa wa Kitengo cha Mawasiliano cha Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiwa katika mkutano huo, wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo,alipokuwa akitoa taarifa hiyo, jijini Dar es Salaam leo.   

Baadhi ya viongozi wa Shirika la Posta Tanzania, wakiwa pamoja na waandishi wa habari wakifuatilia taarifa hiyo, iliyokuwa ikitolewa na Mwenyekiti wa Bodi, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo,
Baadhi ya viongozi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakifurahia jambo, wakati Mwenyekiti wa Bodi, Dk. Haruni Kondo alipokuwa akitoa taarifa ya mafaniko ya kiutendaji wa shirika kwa mwaka 2017/2018, jijini Dar es Salaam leo.  
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Shirika la Posta, Elia Madulesi, akizungumza wakati akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari, katika mkutano huo. Kulia ni Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika, Hassan Mwang’ombe na kushoto ni Meneja Rasilimali za Shirika, Macrice Mbodo. 
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Hassan Mwang’ombe, akielezea huduma mpya mbambali ambazo zimeanzishwa na zinapatikana katika shirika hilo hivi sasa. Kulia  ni Mwenyekiti wa Bodi, Dk. Haruni Kondo.
Kaimu Postamasta Mkuu, Hassan Mwang’ombe, akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Dk. Haruni Kondo, akijibu baadhi ya maswali ya waandishi wa habari, katika mkutano huo, wa kutoa taarifa ya mafanikio ya kiutendaji wa shirika hilo, kwa mwaka 2017\2018, jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.