Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Akutana na Mkurugenzi Mkuu wa WFP

 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa  Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani, David Beasley, kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Julai 27, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimikana na Mkurugenzi Mkuu wa  Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani, David Beasley kabla ya mazungumzo yao  kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa  Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani, David Beasley, kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Julai 27, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.