Habari za Punde

Kampuni ya Jufe Prodaction ya Wete Pemba Yatoa Tunzo Kwa Wasanii wa Kisiwani Pemba Kwa Juhudi Zao Katika Kazi ya Usanii.

WAZIRI wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe.Balozi Ali Abeid Karume akipokea tunzo kutoka kwa  mmoja wa wasani Wakongwe Ndg.Mohamed Kombo (Mwinyi Mpeku Peku la Ungo) wa  kampuni ya Jufe Prodation ya Wete Pemba, kwa ajili ya Afisa Mdhamini wa Wizara hiyo kisiwani Pemba Bi. Fatma Hamad Rajab. 
WAZIRI wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar,Mhe. Balozi Ali Karume, akikmabidhi Tunzo Afisa Mdhamini wa Wizara hiyo Fatma Hamad Rajab iliyotolewa na Kampuni ya Jufe Prodaction kwa ajili ya kuwajali Wasanii wa Kisiwani Pemba kutokana na juhudi zao katika Usanii kisiwani humu.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.