Habari za Punde

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ziarani Kisiwani Zanzibar na Kuhutubia Mkutano wa Hadhara Viwanja Vya CCM Kisiwandui leo.

KATIBU Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akishiriki katika matembezi ya mapokezi yake Zanzibar akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Mabodi na Viongozi wengine wakiwa katika matembezi hayo wakielekea Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kuzungumza na Wanachama wa CCM Zanzibar wakati wa ziara yake ya siku mbili Zanzibar
KATIBU Mkuu wa CCM Dk. Bashiri Ally akivishwa shada la mau wakati alipowasili katika viwanja Vya Afisi Kuu ya CCM, wakati wa ziara yake Zanzibar ya Siku mbili.na kuwahutubia Wanachama wa CCM katika viwanja hivyo
KATIBU Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, alipowasili katikla viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar akiwa katika ziara yake na kuzungumza na Wanachama wa CCM Zanzibar
KATIBU Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akisalimiana na Viongozi wa CCM Zanzibar alipowasili katika viwanja vya CCM Kisiwandui Zanzibar kuzungumza na Wanachama wa CCM Zanzibar akiwa katika ziara yake Zanzibar

KATIBU Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akiwapungia mkono wananchi waliokuwakatika maandamano maalumu yalioandaliwa kwa ajili ya mapokezi yake katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar
KATIBU Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akiwapungia mkono wananchi waliokuwakatika maandamano maalumu yalioandaliwa kwa ajili ya mapokezi yake katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar KATIBU Mkuu wa CCM Dk. Bashuri Ally akiwa na viondozi wa CCM Zanzibar wakiomba dua wakati alipotembelea kaburi la muassisi wa Mapinduzi ya Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Afisi Kuu Kisiwandui Zanzibar

 KATIBU Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akisalimiana na Mzee wa CCM Zanzibar Bi,Khadija Jabir, alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar wakati wa ziara yake Zanzibar na kuzungumza katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar
 KATIBU Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akisaini kitabu cha wageni Afisi Kuu ya CCM Zanzibar wakati wa ziara yake na kuzungumza katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar
VIJANA wa Chama Cha Mapinduzi wakihamasisha Wanachama wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally Zanzibar akiwa katika ziara ya siku mbili
 KATIBU Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Mabodi wakitoka katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui baada ya mazungumzo yake na Wafanyakazi wa CCM Zanzibar kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar. 
 MASANII wa muziki wa Kizazi kipya Zenj Flava Unit Ismail Mustafa akitowa burudani wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally uliofanyika katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar
 KATIBU Mwenezi Idara ya Uenezi Zanzibar Bi. Catherina Peternao akizungumza wakati wa mkutano huo wa hadhara kabla ya kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Juma Abdallah Mabodi kumkaribisha mgeni rasmin kuwahutumia WanaCCM Zanzibar katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar
 KATIBU Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akionesha Kadi za Wanachama Wapya kutoka CUF na kujiunga Chama cha Mapinduzi kutoka Mkoa wa Kusini Unguja akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ramadhan Abdalla, wakati wa hafla hiyo ya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandyui Zanzibar
 WANACHAMA Wapya wa Chama Cha Mapinduzi wakitokea Chama cha CUF Tawi la Mtendeni Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja wakionesha kadi zao za CUF na kuzikabidhi kwa Katibu Mkuu wa CCM na kujiunga na CCM, wakati wa mkutano huo wa hadhara katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Juma Abdalla Mabodi akizungumza na Wanachama wa CCM kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dk. Bashiru Ally, kuwahutubia WanaCCM katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM kisiwandui Zanzibar akiwa katika ziara yake Zanzibar
 KATIBU Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akionesha Kadi za Wanachama Wapya kutoka CUF na kujiunga Chama cha Mapinduzi kutoka Mkoa wa Kusini Unguja akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ramadhan Abdalla, wakati wa hafla hiyo ya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandyui Zanzibar
 KATIBU Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akionesha Kadi za Wanachama Wapya kutoka CUF na kujiunga Chama cha Mapinduzi kutoka Mkoa wa Kusini Unguja akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ramadhan Abdalla, wakati wa hafla hiyo ya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandyui Zanzibar
 BAADHI ya Wazee wa CCM Zanzibar na Viongozi wa CCM wakifuatilia hutuba ya Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally wakati akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar
 WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wakishangilia wakati Katibu Mkuu wa CCM akihutubia wakati wa Mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.