Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akiwasili katika viwanja vya Maonesho Kizimbani kwa ajili ya Ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya Wakulima Zanzibar NaneNane kulia Waziri wa Kilima Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Rashid Ali Juma , Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.
MAKAMU
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe kuashiria
kuyafungua maonesho ya Siku ya Wakulima Zanzibar Nanenane katika viwanja vya
Kizimbani Unguja kulia Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe.
Rashid Ali Juma na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub
Mohammed Mahmoud na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali
Maulid.
MAKAMU
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akiangalia Jarida la
Waziri wa Kilimo wakati akitembelea maonesho hayo baada ya kuyafungua katika viwanja vya Kizimbani Unguja
MKUU
wa Idara ya Uhakiki Chakula na Lishe
Zanzibar Ali Mohammed Omar akitowa maelezo kwa Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi alivyotembelea banda hilo wakati wa maonesho
ya Siku ya Wakulima Zanzibar
MWANAFUNZI
wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Tawi la Zanzibar Mabula Limbu akitowa
maelezo ya kisanyansi kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif
Ali Iddi alipotembelea banda lao wakati wa maonesho ya Siku ya Wakulima
NaneNane katika viwanja vya kizimbani Zanzibar
MAKAMU
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akiangalia bidhaa za
Mjasiriamali wa Kikundi cha (ZAIDAT ) cha Chukwani Zanzibar , Mwaita Ali
kinachojishughulisha na utengenezaji
wa sabuni za mwani
MAKAMU
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akiangalia jozi ya viatu
vya makubazi vinavyotengenezwa na
Kikundi cha Vumilia Machomane Pemba, wakati akitembelea maonesho hayo na kupata
maelezo kutoka kwa Mwanakindu hichi Bi. Khadija Rashid
MAKAMU
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Vijana wa Taasisi
ya Wanahabari Vijana Zanzibar, alipotembelea banda lao la maonesho wakati wa
maonesho ya Siku ya Wakulima Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya kizimbani
Zanzibar
MAKAMU
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Vijana wa Taasisi
ya Wanahabari Vijana Zanzibar, alipotembelea banda lao la maonesho wakati wa
maonesho ya Siku ya Wakulima Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya kizimbani
Zanzibar
WAZIRI
wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Rashid Ali Juma akizungumza
wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi wa Maonesho ya Siku ya Wakulima Zanzibar
katika viwanja vya Kizimbani Zanzibar
BAADHI
ya Wakulima wa Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya
Wakulima Zanzibar wakati Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif
Ali Iddi, akihutubia katika viwanja vya kizimbani Zanzibar
BAADHI
ya Wananchi na wageni waalikwa wakimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Mhe. Balozi Seif Ali Iddi wakati akihutubia baada ya kuyafungua maonesho ya
Siku ya Wakulima Zanzibar,yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Zanzibar
No comments:
Post a Comment