Habari za Punde

Mradi wa Usambazaji wa Mabomba Mapya ya Maji Safi na Salama Katika Mitaa ya Zanzibar.

Wafanyakazi wa Kampuni ya Kichina ya STECOL inayosimamia Mradi wa usambazaji  maji safi na salama katika maeneo ya mbalimbali ya Mji wa Zanzibar wakisambaza mabomba hayo katika mitaa ya Miembeni Unguja, wakiwa katika eneo la Miembeni jitini wakitandaza mpira wa kusambazia maji katika mitaa hiyo kama walivyokutwa na mpiga picha wetu wakati akiwa katika mitaa mbalimbali ya Zenj.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.