Habari za Punde

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba Awahutubia Wanachama na Viongozi wa CUF Zanzibar.

 Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF anaetambuliwa na Msajili wa Vyama Pro,Ibrahim Haroun Lipumba akizungumza na wanachama wa chama hicho waliohudhuria katika Mkutano wake wa kwanza uliofanyika katika Ukumbi wa Baitul Yamiyn bwawani mjini Zanzibar.
Baadhi ya Wanachama wa chama cha Wananchi CUF waliohudhuria katika Mkutano wa Kwanza wa Mwenyekiti wa CUF anaetambuliwa na Msajili wa Vyama Pro,Ibrahim Haroun Lipumba uliofanyika katika Ukumbi wa Baitul Yamiyn bwawani mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF anaetambuliwa na Msajili wa Vyama Pro,Ibrahim Haroun Lipumba akizungumza na wanachama wa chama hicho waliohudhuria katika Mkutano wake wa kwanza uliofanyika katika Ukumbi wa Baitul Yamiyn bwawani mjini Zanzibar.
Picha na Yussuf Simai Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.