Habari za Punde

Pondeza Foundation yaja na Tamasha la Mayatima kila Mwezi 10 Mfunguo tatu

Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Mwenyekiti wa Taasisi ya Pondeza Foundation ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza kuhusiana na Tamasha la Mayatima ambalo hufanyika kila ifikapo Mwezi kumi(10) Mfunguo Tatu katika Hoteli ya Maruhubi Beach Villas mjini Zanzibar.
 Mwenyekiti wa Taasisi ya Pondeza Foundation ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Tamasha la Mayatima ambalo hufanyika kila ifikapo Mwezi kumi(10)Mfunguo Tatu katika Hoteli ya Maruhubi Beach Villas mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Pondeza Foundation ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Tamasha la Mayatima ambalo hufanyika kila ifikapo Mwezi kumi(10)Mfunguo Tatu katika Hoteli ya Maruhubi Beach Villas mjini Zanzibar.
Picha na Yussuf Simai /Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.