MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Sief Ali
Iddi, akipata maelezo ya ramani ya ujenzi ya nyumba ya Makamu wa Pili wa Rais
huko Pagali Chake Chake, kutoka kwa Injinia wa Ujenzi Hawa Natepe kutoka wakala
wa majengo Zanzibar.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
MUONEKANO wa Nyumba za makaazi kwa Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar, huko katika maeneo ya Pagali Chake Chake baada ya kumalizika
kwa ujenzi wa nyumba hiyo.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi, akipata maelezo ya nyumba ya makaazi huko Pagali Chake Chake, kutoka kwa
injinia wa Ujenzi Hawa Natepe kutoka wakala wa majengo Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MAFUNDI kutoka Kikosi cha KM KM wakiwa katika
harakati za ujenzi wa Nyumba ya Makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar,
huko katika maeneo ya Pagali Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi, akipata maelezo juu ya moja ya nyumba za makaazi ya Makamu wa Pili wa
Rais Zanzibar huko Pagali Wilaya ya Chake Chake, kutoka kwa mkurugenzi wa
wakala wa majengo Zanzibar Ramadhani Mussa Bakari wakati alipotembelea ujenzi
huo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi, akizungumza na maafisa wadhamini wa Taasisi mbali mbali Serikali Pemba,
huko katika ukumbi wa Tasafa Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MAAFISA wadhamini
kutoka Taasisi mbali mbali za Serikali Kisiwani Pemba, wakimsikiliza kwa makini
Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, wakati alipokuwa akizungumza nao
huko katika Ukumbi wa Tasaf Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA
No comments:
Post a Comment