Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Atembelea Chuo Kikuu Cha Uudayana Mjini Bali Indonesia.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyeji wake Mkuu wa Chuo Kikuu cha Udayana Prof.Dr.Ida Bagus Wyasa Putra katika Mji wa Bali Nchini Indonesia alipotembela Chuoni hapo akiwa na ujumbe wake katika ziara ya kikazi Nchini Indonesia kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,akimvilisha Shada la mauwa wakati wa mapokezi na  
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akimuuliza suala  Mkuu wa Chuo Kikuu cha Udayana Prof.Dr.Ida Bagus Wyasa Putra   wakati wa  mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Chuo hicho kiliopo Jambaran Bali (TBC)  alipokuwa katika ziara ya kikazi Nchini Indonesia kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipofuatana na mwenyeji wake  Mkuu wa Chuo Kikuu cha Udayana Prof.Dr.Ida Bagus Wyasa Putra   alipotembelea Chuoni hapo baada ya mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Chuo hicho kiliopo Jambaran Bali (TBC)  alipokuwa katika ziara ya kikazi Nchini Indonesia kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  alipofuatana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malaysia pia akiiwakilisha Tanzania Nchini Indinesia Mhe.Dkt.Ramadhan Kitwana Dau,wakati alipokuwa akiingika katika ukumbi wa mikutano wa Chuo Kikuu cha Udayana kwa ajili ya kuzungumza na Walimu na wanafunzi chuoni hapo  alipotembelea  katika ziara ya kikazi Nchini Indonesia kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Udayana Prof.Dr.Ida Bagus Wyasa Putra,kiliopo Jambaran Bali (TBC) alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) pamoja na Ujumbe wake alipotembelea katika Chuo hicho akiwa katika ziara ya kikazi Nchini Indonesia kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,(katikati) Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malaysia pia akiiwakilisha Tanzania nchini Indonesia Balozi Ramadhan Kitwana Dau
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akizungumza na Viongozi,Wahadhiri na Wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Udayana kiliopo Jambaran Bali (TBC)alipotembelea Chuoni hapo akiwa na Ujumbe wake katika ziara ya kikazi Nchini Indonesia kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Baadhi ya Walimu  na Wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Udayana kiliopo Jambaran Bali (TBC)  wakiwa katika mkutano wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  na Ujumbe wake (hawapo pichani) walipotembelea Chuoni hapo katika ziara ya kikazi Nchini Indonesia kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi zawadi Mkuu wa Chuo Kikuu cha Udayana Prof.Dr.Ida Bagus Wyasa Putra,kiliopo Jambaran Bali (TBC) baada ya mazungumzo alipotembelea katika Chuo hicho akiwa katika ziara ya kikazi Nchini Indonesia kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Udayana Prof.Dr.Ida Bagus Wyasa Putra, (katikati) wakiwa katika Picha ya pamoja na ujumbe wa Rais, na Viongozi katika Chuo hicho kiliopo Jambaran mjini Bali (TBC)baada ya  kukitembelea jana  akiwa katika ziara ya kikazi Nchini Indonesia kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,[PIcha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.