Habari za Punde

Wananchi Visiwani Zanzibar Wajitokeza Kupima Afya Zao na Kuchangia Damu Katika Viwanja Vya Maisara Zanzibar. Kambi ya Siku Mbili Ilioandaliwa na Taasisi ya Jamii Bora.

WANANCHI wakipata huduma ya vipimo vya Afya kutoka kwa Madaktari Bingwa wa maradhi mbalimbali katika viwanja vya Maisara Zanzibar wakati wa Kambi ya kuchunguza maradhi na Uchangiaji wa Damu ilioandaliwa na Jumuiya ya Jamiiyatul  Akhlaaqul Islaam kwa kushirikiana Jamii Bora Health Services Network, wakitowa huduma hiyo
WANANCHI wakipata huduma ya vipimo vya Afya kutoka kwa Madaktari Bingwa wa maradhi mbalimbali katika viwanja vya Maisara Zanzibar wakati wa Kambi ya kuchunguza maradhi na Uchangiaji wa Damu ilioandaliwa na Jumuiya ya Jamiiyatul  Akhlaaqul Islaam kwa kushirikiana Jamii Bora Health Services Network, wakitowa huduma hiyo
DAKTARI Bingwa wa Maradhi ya Watoto kutoka SMV Health Center Ilala Dar es Salaam Hospitali pekee ya Wanawake na Watoto Dr. Alma Ally Sykes, akitowa huduma kwa wananchi waliofika katika viwanja vya maisara Zanzibar kuangalia afya zao wakati wa zoezi la kuchangia Damu lililoandaliwa na Jumuiya ya Jamiiyatul  Akhlaaqul Islaamia kwa kushirikiana na Jamii Bora Health Services, hafla hiyo imafanyika katika viwanja vya maisara Zanzibar
DAKTARI Mbarouk Khamis akimsiliza Mwananchi Nassor Juma, alipofika katika viwanja vya maisara Zanzibar kuchunguza afya yake wakati wa kambi ya kuchangia Damu na kuchunguza Afya za Wananchi wa magonjwa mbalimbali kambi hiyo imeandaliwa na Jumuiya ya Jamiiyatul Khlaaqul Islaamia kwa kushirikiana na Jamii Bora Health Services


DAKTARI Bingwa wa Macho kutoka Nchini Ufaransa Dr. Mohamad Mehdi akimfanyanyi uchunguzi wa macho Mtoto Ahmada Haji wakati wa zoezi la kambi ya kuchangia Damu na Kuchunguza Afya za Wananchi wa Zanzibar ilioandaliwa na Jumuiya ya Jamiiyatul  Khlaaqul Islaam kwa kushirikiana na Jamii Bora Services Network, inayofanyika katika viwanja vya maisara Zanzibar

 DAKTARI wa Kitengo cha kuchangia Damu Muzalifa Amour akimfanyia vipimo vya kumpima presha Mwananchi aleyefika kuchangia damu wakati wa Kambi hiyo ya siku mbili katika viwanja vya Maisara Zanzibar


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.