Habari za Punde

Ujumbe wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE Watembelea Kisiwani Pemba Kuangalia Miradi Mbalimbali Kisiwani Humo leo.

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Abdalla Mzeee ya Mkoani Mkoa wa Kusine Pemba Dk.Haji Mwita (kushoto) akifuatana na  Ujumbe wa Timu ya Wataalam kutoka Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ulipofika kutembelea Hospitali hiyo leo kufuatia ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliyoifanya (UAE) mwanzoni mwa mwaka huu
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Abdalla Mzeee ya Mkoani Mkoa wa Kusine Pemba Dk.Haji Mwita (katikati) akifuatana na  Mkurugenzi Mkuu katika masuala ya taalum wa idara ya mambo ya afya katika kampuni ya afya Abudhabi Dk.Ali Ali Obeid wakati Ujumbe wa Timu ya Wataalam kutoka Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ulipofika kutembelea Hospitali hiyo leo kufuatia ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliyoifanya (UAE) mwanzoni mwa mwaka huu
Mshauri wa Waziri wa Nchi Ushirikiano wa Kimataifa wa Serikali ya Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE)  Bibi Najla Al- Kaabi akiuliza suala kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd.Shomari Omar Shomari wakati Ujumbe wa Timu ya Wataalam kutoka Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ulipofika kutembelea mradi wa Bandari ya Mkoani Pemba leo kufuatia ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliyoifanya (UAE) mwanzoni mwa mwaka huu
Ujumbe wa Wataalamu kutoka Nchi za umoja wa Falme za Kiarabu(UAE) ulipotembelea Barbara ya Mkoani- Chakechake leo,wakati ujumbe huo ukiwa nchini kufuatia ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliyoifanya (UAE) mwanzoni mwa mwaka huu
Mkuu wa Mkoa wa Kusine Pemba Mhe.haemedi Suleiman Abdalla akifuatana na Mshauri wa Waziri wa Nchi Ushirikiano wa Kimataifa wa Serikali ya Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Bibi Najla Al- Kaabi  (kukhoto) pamoja na Ujumbe wake wa  Wataalamu kutoka Nchi hizo ulipofika kutembelea mradi wa Barabara ya Mkoani -Chakechake kufuatia ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliyoifanya (UAE) mwanzoni mwa mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 10/08/2018. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.