Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Akiwa Katika Ziara Yake Wilayani Ruangwa.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Likunja Wilayani Ruangwa,akiendelea na ziara yake ya Kikazi.ya siku nne.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Likunja Wilayani Ruangwa,akiendelea na ziara yake ya Kikazi.ya siku nne.Wilayani Ruangwa
Wananchi wa kijiji cha Likunja wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, aliposimama na kuzungumza nao, akiwa kwenye ziara yake ya kikazi ya siku nne Wilayani Ruangwa
 Wananchi wa kijiji cha Likunja wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, aliposimama na kuzungumza nao, akiwa kwenye ziara yake ya kikazi ya siku nne Wilayani Ruangwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikagua uwanja wa mpira wa Kassim Majaliwa Stadium Wilayani Ruangwa, akiwa kwenye ziara yake ya kikazi ya siku nne,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na wachezaji wa Namungo FC, alipowatembelea kambini kwao Wilayani Ruangwa. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wachezaji wa Namungo FC, alipowatembelea kambini kwao Wilayani Ruangwa,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akionesha jezi ya Namungo FC, baada ya kupokea jezi hizo zilizotolewa na wafadhili wa timu hiyo, Haojue Company Limited Wilayani Ruangwa, Agosti 10.2018 Kushoto ni Mkurugenzi wa Haojue Brand Martin Francis
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea kiatu kwa naiba ya Namungo FC, kutoka kwa Mkurugenzi wa Haojue Brand Martin Francis, Wilayani Ruangwa, Agosti 10.2018.
 (Picha na Ofisi ya Naziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.