Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa China Nchini Tanzani Bibi Wang Ke, alipofika Ofisini kwake kwa mazungumzo ya Kikazi katika Ofisi yake Jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa China Nchini Tanzania Bi. Wang Ke, alipofika Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo ya kikazi leo Agosti 24/2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu )
No comments:
Post a Comment