Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola (Mb) akihutubia wakati wa Uzinduzi
wa Maadhimosho ya Wiki ya Zimamoto na Uokoaji Kitaifa yaliyofanyika katika
viwanja vya Jamhuri, Jijini Dodoma
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, CGF Thobias Andengenye, akisoma
hotuba ya kumkaribisha Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi
Lugola (Mb), katika Uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Zimamoto na Uokoaji
Kitaifa yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri, Jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola (Mb) akipokea salaam ya heshima (Guard of
Honor), iliyoandaliwa na Maafisa na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakati
wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Zimamoto na Uokoaji Kitaifa yaliyofanyika
katika Uwanja wa Jamhuri, Jijini Dodoma.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola (Mb) akikagua Gwaride la heshima
ililoandaliwa na Maafisa na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakati wa
Uzinduzi wa Maadhimosho ya Wiki ya Zimamoto na Uokoaji Kitaifa yaliyofanyika
katika Uwanja wa Jamhuri, Jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola (Mb) akimsikiliza Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji Raymond Mgaya, kutoka Kitengo cha Elimu kwa Umma katika
Uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Zimamoto na Uokoaji Kitaifa yaliyofanyika
katika Uwanja wa Jamhuri, Jijini Dodoma. (Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji)
Kauli mbiu ya
Maadhimisho ya WIKI YA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KITAIFA ni “Shiriki kukuza Uchumi wa Viwanda
kufunga ving’amua moto kwenye viwanda”
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA-JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
No comments:
Post a Comment