Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi wa Musoma waliokusanyika
katika viwanja vya Mukendo vilivyopo Musoma mjini kwa ajili ya kumsikiliza mara
baada ya kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Mara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Maji Profesa Makame
Mbarawa, mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa AFD Stephanie Mouen wakanza
kulia mwenye wakivuta utepe kuashiria ufunguzi
wa mradi wa maji safi na usafi wa mazingira katika manispaa ya Musoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Stephanie Mouen mwakilishi wa
Shirika la Maendeleo la Ufaransa AFD Agence Francaise De Development
waliosaidia katika mradi huo wa maji Musoma mkoani Mara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe
pamoja na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isaack Kamwelwe
wakivuta utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya kutoka Mpakani mwa Simiyu/Mara
na Musoma km 85.5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Mhandisi Isaack Kamwelwe mara baada ya kufungua barabara ya kutoka
Mpakani mwa Simiyu/Mara na Musoma km 85.5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa wakisikiliza maelezo ya mradi wa wa maji safi na usafi wa mazingira katika manispaa ya Musoma mjini Mkoani Mara kabla ya kuuzindua.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi wa Musoma mjini (hawaonekani pichani) katika viwanja vya Mukendo
Musoma mkoani Mara

Sehemu ya wananchi waliohudhuria
mkutano huo uliofanyika Musoma mjini katika viwanja vya Mukendo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi wa Musoma waliokusanyika
katika viwanja vya Mukendo vilivyopo Musoma mjini kwa ajili ya kumsikiliza mara
baada ya kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Mara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi wa Musoma waliokusanyika
katika viwanja vya Mukendo vilivyopo Musoma mjini kwa ajili ya kumsikiliza mara
baada ya kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Mara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia dawati ambalo alikuwa akilitumia
kujisomea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Shule ya
Msingi Mwisenge Musoma. Hayati Mwalimu Nyerere alisoma shule hapo elimu ya Msingi tarehe 20/4/ 1934
hadi 1/10/1936.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoka katika bweni alilokuwa akilala Baba
wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Shule ya Msingi
Mwisenge Musoma. Hayati Mwalimu Nyerere alisoma
shule hapo elimu ya Msingi kuanzia tarehe 20/4/ 1934 hadi 1/10/1936…PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment