Gavana wa Jimbo la Guangxi Zhuang la Nchini
China, Chen Wu (katikati) akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar,
Dk. Khalid Salum Mohammed wakati gavana huyo alipotembelea Banda la Tanzania
katika Maonesho ya 15 ya Kimataifa ya China na Nchi za Asia (CAEXPO)
yanayofanyika katika Mji wa Nanning Jimbo la Guangxi Nchini China. Kulia Waziri
wa Biashara na Viwanda, Zanzibar, Balozi Amina Salum Ali
Gavana wa Jimbo la Guangxi Zhuang la Nchini
China, Chen Wu akiangalia bidhaa za viungo zinazozalishwa na Zanzibar Organic
Producers wakati alipotembelea Banda la Tanzania katika Maonesho ya 15 ya
Kimataifa ya China na Nchi za Asia (CAEXPO) yanayofanyika katika Mji wa Nanning
Jimbo la Guangxi Zhuang Nchini China.
(Picha na Haroub Hussein)
No comments:
Post a Comment