Habari za Punde

Michuano ya Central Ligi Wilaya ya Chakechake Yafikia Tamati leo. Uwanja wa Gombani Pemba.

 MASHINDANO ya vijana ngazi ya centrala na Jounier wilaya ya chake chake, Msaidizi wa makamu wa pili Pemba Amran Massoud Amran akiwa mgeni rasmi na kuwakabidhi zawadi watoto wa mjini chake chake, kubwa aliwataka viongozi wa vilabu kuhakikisha wanakuwa makini katika kutafuta umri wa wachezaji wanaoshiriki mashindano hayo, kwa kuhofia yaliyotokea kwa timu ya Vijana ya zanzibar kutolewa katika mashindano ya CECAFA mwaka jana

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.