Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akimkabidhi Leseni ya Utangazaji kupitia Online Mkurugenzi Mtendaji wa Zanzinews.Com. Othman Maulid Othman, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi mdogo wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar kulia Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg. Omar Said Ameir, Jumla ya Vutuo 8 Vimekabidhiwa leseni ya Utangazaji kupitia Online.
WAZIRI
wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo kushoto
akimkabidhi Leseni ya Online ya Utangazaji kupitia Facebook Online Ikulu
Zanzibar Mkurungenzi wa Mawasiliano Ikulu Zanzibar Ndg. Hassan Khatib, akishuhudia Mrajasi wa Tume ya Utangazani Zanzibar Ndg.
Omar Said Ameir, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mikutano Wizara ya
Habari Kikwajuni Zanzibar.
WAZIRI
wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo kushoto
akimkabidhi Leseni ya Online ya
Utangazaji kupitia Facebook Online Idara ya Habari Maelezo Zanzibar
akikabidhiwa Naibu Mkurungenzi Idara ya Mabari Maelezo Zanzibar Dkt. Juma Mohammed Salum, akishuhudia Mrajasi wa Tume ya Utangazani Zanzibar Ndg.
Omar Said Ameir, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mikutano Wizara ya
Habari Kikwajuni Zanzibar
WAZIRI
wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombe kulia
akimkabidhi Mkurugenzi wa Kituo cha Zanonline Tech Ndg Said Abdallah, hafla
hiyo imefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Kikwajuni, akishuhudia
Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg. Omar Said Ameir
WAZIRI
wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombe kulia
akimkabidhi Mkurugenzi wa Kituo cha Pemba Tv Online Ndg Abdallah Juma , hafla
hiyo imefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Kikwajuni, akishuhudia
Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg. Omar Said Ameir
WAZIRI
wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombe kulia
akimkabidhi Mkurugenzi wa Kituo cha Mubashara Media Network Ndg Suleiman Juma hafla
hiyo imefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Kikwajuni, akishuhudia
Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg. Omar Said Ameir
WAZIRI
wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombe
akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Lesini za Utangazaji kupitia Mitandao
(Online Tv) na Mitangao ya Kijamii, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa
Wizara ya Habari Kikwajuni Zanzibar
No comments:
Post a Comment