Habari za Punde

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Tanzania Bara Mhe.Abdallah Ulega Afanya Ziara Mkoani Lindi.

 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega (mwenye miwani), akimsikiliza Kaimu Afisa Mifugo wa Manispaa ya Lindi, Fadhili Chamasi (kushoto), wakati akikagua ujenzi wa machinjio ya ng’ombe utakaogharimu zaidi ya bilioni moja katika eneo la  Ngongo mkoani Lindi jana katika ziara yake mkoani Lindi.
Picha na Mpiga Picha Wetu.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.