Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiongoza dua ya kuwaombea marehemu na waliopata manusura katika ajali ya Mv.Nyerere baada ya swala ya Ijumaa katika Msikiti Masjid Tambaza Jijini Dar es Salaam jana,[Picha na Ikulu.] 28/09/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Waumini wa dini ya kiislamu mara baada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti Masjid Tambaza Jijini Dar es Salaam jana,[Picha na Ikulu.] 28/09/2018.

No comments:
Post a Comment